

Albert Mangwea enzi za uhai wake
Katika hli isiyo ya kawaida kutokea hasa ndani ya Club, usiku wa jana katika Club maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas mambo yalionekana tofauti isiyo ya kawaida katika hali iliyoashiria msiba uliolikuta taifa katika anga ya Burudani baada ya kuondokewa na msanii mkongwe Albert Mangwe aliyefariki nchi Afrika kusini Jumaanne iliyopita.

Katika ukurasa wake wa Facebook, Dj maarufu wa club hiyo Dj Ibra ameandika
Usiku
wa Leo Jumapili Ilikuwa Hakuna Msanii yoyote ndani ya Club Bilicanas
kama Ilivyozoeleka Siku zote za Jumapili,Ila Kilichofanyika ni Disco tu
then tulitoa Nafasi kwa Mtu yoyote apande kwenye Stage kuimba wimbo
wowote wa Marehem Mangwea,Ilifanyika Hivyo kwa Wanaume na Wanawake,
Ilikuwa poa sana Coz watu walijitahid kuimba vizuri Nyimbo za Marehem
Mangwea then tulisimamisha Disco kwa Dakika Moja na Kupiga kimya watu
wote In the House.
REST IN PEACE JEMBE LETU ALBERT MANGWEA.
REST IN PEACE JEMBE LETU ALBERT MANGWEA.
Ni maneno ya Dj Ebrah wa Club Bilicanas katika ukurasa wake wa Facebook.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment