June 27, 2013


 Kama kawaida ya DJ JD (johnn Dilinga ndani ya Isumba Lounge kila Ijumaa, Ijumaa hii  tena kwa zile kali za kitambo kileee,  ni  hivi yaani

  Sasa tunaamini unafahamu kuwa Night of the Legends aka usiku wa malegendari isumba lounge zamani jollies club ndiyo gumzo mjini. Sasa basi the magic continues, this friday kama kawaida melegendari tunakutana tunapata oldies, old scul kali, raga, soca rumba, chacha na nyingine nyingi. J'mosi hii kama kawaida moto unaendelea, ma gentleman 50 wataofika kabla ya saa 6 usiku watapata vol mpya kabisa The Legend is Back Nonstop cd, wadada 50 kupata a very cold glass of wine mlangoni. Entry 10k, doors open 9pm. Karibu

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE