June 22, 2013

Leo ni tarehe 23/6 siku ya kuzaliwa kwa mmiliki wa tutoke online tourism information bwana Ngwesa Paulo.Kupitia fursa hii ubalozini.blogspot.com, tutoke, na wadau wengine mbalimbali tunajitokeza kukupa pongezi nyingi, umri mrefu wenye kheri na Baraka tele........
 
 
 
Mungu akulinde na mabalaa mbalimbali unafki na wanafki, kila baya liombwal0 kwako ligeuke kuwa jema.  Amen......

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE