Mazishi ya mwanamuziki maarufu wa Hip Hop Langa M Kileo aliyefariki jana, yanatarajiwa kufanyika siku ya jumaa tatu katika makabuli ya Kinondoni. Langa alifariki jana jioni katika Hospital ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa na Marali na Homa ya uti wa Mgongo

Langa enzi za uhai wake
Mungu amlaze pema peponi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment