Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) Hii hapa
(function(d, s, id) { var js, fjs = d.getElementsByTagName(s)[0]; if (d.getElementById(id)) return; js = d.createElement(s); js.id = id; js.src = "//connect.facebook.net/en_US/sdk.js#xfbml=1&version=v2.3"; fjs.paren…Read More
Chiku Abwao awaomba waandishi kufuata maadili ya kazi
Vyombo vya habari vimekumbushwa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa kwa
kufuata misingi ya maadili ya sekta hiyo ili kupata viongozi bora katika
uchaguzi wa mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Mgombea
wa u…Read More
Juma Kaseja rasmi Mbeya City, asaini miezi Sita
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye mlinda mlango maarufu nchini Tanzania ,Juma Kaseja Juma amesaini rasmi kuwa mchezaji wa timu ya Mbeya City ya Jijini Mbeya kwa mkataba utakao muweka …Read More
Nicolaus Otamendi ajiunga na City Miaka Mitano
Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini ametangaza rasmi kumsajili mchezaji wa Valencia ya La Liga , beki Nicolaus Otamendi leo Alhamisi kwa ada ya uhamisho ya Pauni milioni 32.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa A…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment