
DAYNA NYANGE AKIWA KATIKA KIPINDI CHA MFUNGO.
Mwanamuziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Freva Mwana dada Dayna Nyange, amempongeza rais wa zamani wa Afrika kusini mzee Nerson Mandela kwa kuwaomba wana afrika kumuombea.
Katika Page yake ya Facebook jana , Dayna aliandika
Leo
ni miaka 95 tangu kuzaliwa kwa mzee wetu, kiongozi na mtetezi wa haki
za mtu mweusi Afrika Kusini. Mzee Nelson Mandela maarufu kwa jina la
Madiba. Licha ya afya yake kuyumba na kuleta shaka kwa wengi, lakini
mungu amemjalia mpaka leo hii kutimiza miaka hiyo ya umri wake Tangu
kuzaliwa. Niwaombe kwa pamoja tuchukue futsa hii kufanya maombi kwa mzee
wetu alejee katika afya njema na mungu amlnde na shari zote.
Kwa pamoja tuseme, mungu msaidie mzee Madiba
0 MAONI YAKO:
Post a Comment