Diva thebawse Mtangazaji Ala za Roho
Kupitia kipiondi cha Ala za Roho cha Clouds Fm kinachoendeshwa na mwana dada Diva Loveness love, usiku wa jana, Imeoneka kwamba mastaa wengi wa Tanzania hawanaga tabia ya ku Reply Ujumbe wanaotumiwa na Wadau wao na kuamua diva kukusanya mitazamo ya mashabiki kwamba ni watu gani maarufu wenye tabia ya Ku Reply ujumbe wanaotumniwa na Mashabiki wao?
Katika Hilo basi hawa ndiyo watu maarufu waliotajwa kwamba wanaonesha ushirikianano na wadau wao kwa ku Reply ujumbe wanaotumiwa katika mitandao ya kijamii
@Arnold Kayanda@Dinamarious@Millardayo@Divathebawse@Petermsechu@Daynanyange@Mwnafa @Ay@Zittokabwe@Janwarymakamba@Shyrosebhanji@Jerryslaa@
Chanzo Ala za roho ya clouds fm
0 MAONI YAKO:
Post a Comment