Hapa ndiyo nyumbani Park Kihonda Bima
Afande Sele na Madee
Ni katika kusherehekea sikukuu ya Iddi el fitli, ndani ya Nyumbani Park Kihonda BIMA, Mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele akiwa na Watu poli, Rais wa Manzese Madee pamoja na Sameer watafany bonge la show ya pamoja ndani ya jukwaa moja uwnja wa burudani Moro ni Nyumbani PARK.
Show itaanza mchana kwa disko toto kwa kiingilio cha Tsh:1000/= na usiku ni show ya kiutuuzima kwa kingilio cha Tsh:6000/= Sote ni kwetu, Familia moja, njoo Nyumbani Park Kihonda
0 MAONI YAKO:
Post a Comment