August 24, 2013

    
  Ni Hamisi Mwinjuma na Ambwene Yesaya, au unaweza kusema ni Mwana F.A na A.Y kwa mara nyingine tena baada ya kutoa “Bila kukunja goti”. Wameingia tena studio na msanii kutoka South Africa anayejulikana na HHP kwa ajili ya collabo.Bila kukunja goti inafanya vizuri sana huku video yake ikisubiliwa kwa hamu kuona jinsi walivyocheza bila kukunja goti.Vipi kuhusu hii ngoma waliyorekodi na HPP, tusubili kuisikiliza na

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE