August 11, 2013


 
   Mshiriki wa Big Brother House Feza Kessy ametolewa muda huu katika mjengo akiwa Mtanzania wa mwisho aliyesalia kwenye nyumba hiyo.

  Hii   imekuja  wiki moja  tangu  Mtanzania  mwingine, Nando alopotolewa katika  jumba hilo, juma lililopita, Feza Kessy ndiye  mshiriki alibakia na sasa amefunga lasmi Pazia  la  ushiriki wa Tanzania katika  jumba hilo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE