Hatimaye beki wa kimataifa wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania Shomary Kapombe amefuzu majaribio aliyokuwa akifanya barani ulaya kwa kufanikiwa kujiunga na klabu ya AS Cannes ya Ufaransa.
Kwa mujibu wa Ismail Aden Lage , kapombe ameuzwa kwa mkopo nchini umo kwa Club hiyo inayoshiriki ligi daraja la nne nchini humo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment