Msanii wa muziki ambaye amekuwa akifanya muziki wake na kundi la Camp
Mulla, Miss Karun ametokea kwenye headlines baada ya kufanya poa katika
moja ya maonyesho yake ya mwisho kabisa, Live at The Elephants jijini
Nairobi, kabla ya kupaa kuelekea huko Marekani kwa ajili ya masomo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment