Fiesta 2016 : Tamasha la tamadunika lafanyika Morogoro
Tamasha la Tamadunika
limefanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege, mjini
Morogoro na kufunguliwa na Afisa Utamaduni wa manispaa hiyo, Steven
Ditenya na vikundi vya ,Mapinduzi Culture Group, Afrik…Read More
Clinton afuta ziara ya California baada ya kuugua kichomi
Mgombea urais wa chama cha
Democratic nchini Marekani Hillary Clinton amefuta mkutano wake wa
kampeni jimbo la California baada yake kuugua.
Bi Clinton amechukua hatua hiyo baada ya kugunduliwa kwamba anaugua ugon…Read More
Operesheni ya kuwaokoa wachimba mgodi yaendelea
Kikosi cha uokozi nchini Afrika Kusini,
kimeendelea na shughuli za kuwaokoa wachimba madini waliokwama katika
mgodi wa Langlaagte kwa siku kadhaa sasa.
Idara ya matukio yasiyotarajiwa nchini Afrika Ku…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment