Bintiye Prezzo
Licha ya kuachana na mama wa mtoto wake, msanii toka nchini Kenya Prezzo ameonesha kuzidisha map[enzi kwa bint yake Rapcellency kwa kuamua kuchora Tattoo yenye picha ya bintiye huyo.
Tattoo aliyojichora Prezzo katika m kono wa kushoto
0 MAONI YAKO:
Post a Comment