
Wasanii wa Bongo fleva watakaopanda katika jukwaa la Fiesta Kigoma. mapema leo wamembelea kaburi la marehem Albert
Mangwea Kihonda Morogoro na kumuombea dua. Wasanii hao wamefanya maamuzi hayo leo Asubuhi wakati wakiwa safarini kuelekea mkoani Kigoma ambapo uzinduzi wa tamasha hilo, utafanyika Tarehe 17/Aug/ 2013 katika uwanya wa Lake Tanganyika kwa kiingilio cha Tsh: 3000/=
Akizungumza na ubalozini.blogspot.com kwa niaba ya wasanii wengine, Stamina amesema , wameamua kufanya hivyo ni kutokana na kumkumbuka ndugu yao ambaye walikuwa wakifanya nae inshu kama izo, kwa hiyo hawatakuwa na baraka kama wasingefanya hivyio kwanza na mambo mengine kuendelea.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment