
Sheddy Clever
Kufuatia sakata la Dayna na Diamond, juu ya Diamond kumwibia BT Dayna, producer wa nyimbo hizo, toka Burn Records, Shedy Clever amekili hilo. Kupitia AC ya facebook ya East Africa Radio wameandika
DAYNA VS DIAMONDBaada ya msanii Diamond kutuhumiwa kuiba beat ya msanii Dayna, Producer wa ngoma hiyo Sheddy Clever amekiri kweli hiyo ilikuwa project ya zamani ya Dayna ndio maana aliamua kumpa Diamond ila amesema kabla hajaitoa alimjulisha Dayna na akakubali ila anashangaa sasa anamgeuka.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment