Full kujiachia
Linah akiwajibika na shabiki wake, yeye anapata alama sita.
Stamina
akighani mashairi ya hip pop wakati wa tamasha la fiesta ndani ya
uwanja wa jamhuri Morogoro, msanii huyu kwa upande wangu ndiye niliona
amekonga nyoyo za mashabiki katika fiesta hilo kutokana na kupewa sapoti
kubwa na mashabiki pindi alipokuwa akiwaeleza jambo kupitia kipoza
sautu, are red !!!!! yessssssss !!! kwa sauti nyingi tofauti na wasanii
wengine. anashika nafasi ya kwanza.
Katika tamasha hilo wasanii walioonekana kufanya vizuri ni , Stamina, Darassa, Niki wa pili, Dully , Nature, Afande na Nay wa mitego.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment