
Akiongea kwa njia ya simu toka Dodoma shuhuda wa tukio hilo amedai kuwa chanzo cha moto huo ni moto wa JIKO la wakazi wa ghorofa ya juu ya jengo la msikiti huo...

Kwa mujibu wa shuhuda wetu, moto huo umefanikiwa kudhibitiwa na jeshi la zima moto na kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha kutokana na moto huo.

Taarifa na Picha na Rama Ngozi Dodoma
0 MAONI YAKO:
Post a Comment