
Ommy Dimpoz akiwa na mwenyeji wake DMK uwanja wandege wa kimataifa wa
Dulles uliopo Sterling, Virginia mara tu alipowasili kwa ajili ya show
Jumamosi Sept 21, 2013 DMV.itakayofanyika KAMA Lounge address ni 11472
Cherry Hiil Rd, Beltsville, MD 20705

Ommy Dimpoz akiwa na Missy T

Ommy Dimpoz akiwa ndani ya Limo akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa Dulles.

Omary Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz baada ya kuwasili Marekani jana na
kupokelewa na wenyeji wake.Ommy Dimpoz anatarajiwa kufanya show ya
kwanza Jumamosi ya wiki hii Washington DC, itakayofuatiwa na show ya
pili Houston September 28 na show ya tatu Los Angeles October 5 kisha
atarejea Tanzania kwaajili ya fainali ya Serengeti Fiesta.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment