
Mwana dada Rachel akonga nyoyo za mashabiki Moro.
Sehemu ya mashabiki wa tamasha la serengeti fiesta 2013 wakishangilia vilivyo usiku huu.
Kushoto ni Alnord Kayanda na kulia ni Mpoki wakiwa na wadau wengine, Noma sana
Shilole akikomaa na Fiesta kwa watani zake Moro.





Anaitwa DJ Zero, makini kazini.

Maelfu ya mashabiki Moro, wakifwatilia Tamasha la Fiesta

Linah toka T H Takifanya poa jukwaan i.

Ni burudani asilimia mia kila kona ya uwanja wa jamhuri Noma sana.

Ni
zao lingine la vipaji kuåitia shindano la Serengeti Fiesta supa nyota
2012,ambaye kwa sasa anafanya vyema sana katika muziki wa
bongofleva,anaitwa Neylee akiimba

Wadau wakifuatilia yanayojiri kwenye jukwaa la serengeti fiesta

Boss Seba Maganga mwenye miwani na kikosi chake wakijumuika na wakazi wa mji kasoro bahari. Noma sana

Pichani kati ni msanii Rachael na skwadi lake wakilishambulia jukwaa la fiesta usikuwa kuiamkia leo Mjinio Hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment