September 27, 2013

 Staa wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo,Rehema Chalamilla 'Ray C', akiingiza sauti ndani ya Studio za THT, chini ya maproducer Emma The Boy na Tudy Thomas,ambao wamepania kumrejesha katika game kwa kishindo msanii huyo, ambaye alipotea kwenye ulimwengu wa Burudani baada ya kutopea katika utumiaji wa madawa ya kurevya ambayo kwa sasa ameachana nayo na kumrudia mwenyezi Mungu sambamba na kuendelea kutumia dozi ya kuondoa sumu ya madawa hayo.
 Ray C akiingiza sauti tayari kwa maandalizi ya ujio mpya kwenye game la Bongo Fleva.
 Producer  Tudy Thomas (kulia), akicheka jambo lililotokana na majadiliano ya kuboresha ngoma mpya ya Rey C, wa kwanza kushoto na katikati ni Emma The Boy akipiga mzigo tayari kwa kumkamilishia Ray C ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni baada mara tu itakapo toka mikononi mwa Maproducer hao.
 Ray C, akijalibu kutoa akapela kwa Maproducer hao, wakati wakiendelea kuiboresha ngoma yake mpya.
 Ray C, Emma The Boy &Tudy Thomas ndani ya Studio
Ray C, akiwa katika pozi nadi ya studio hiyo.

Related Posts:

  • Mashekh waliotekwa, waachiwa huruKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kuachiwa huru kwa Mashekhe waliotekwa nchini DRC. Kushoto ni Mkurug… Read More
  • Lowassa awasili Mpanda kwa Chopa Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye … Read More
  • Magazetini Leo Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Septemba 4,2015 tumeingia kwenye chumba cha cha TZA kinachomiliikiwa na Millard Ayo na tayari tumeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baa… Read More
  • Liberia imefanikiwa kutokomeza Ebola-WHOImage copyrightGettyImage captionMtu aliyenusurika ebola Shirika la afya duniani WHO, limetangaza kwua taifa la Liberia, limefanikiwa kutokomeza Ugonjwa wa Ebola kwa mara ya pili. Mei mwaka huu shirika hilo lilikuwa limetoa t… Read More
  • Yametimia, DK. Slaa amwaga ugali, aachana na Siasa,    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), DK. Wilbroad Slaa amesema hakuwa likizo ila aliamua kuachana na siasa baada ya kutokubaliana na maamuzi ya chama chake yaliyotokea Julai 28,… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE