
Zao la Fiesta super Nyta 2013 Neylee, ambaye kwa sasa anafanya vyema sana kwenye
anga ya muziki huo,akiimba kwa hisia mbele ya mashabiki wake serengeti fiesta Mwanza


sehemu
ya mashabiki wakifuatilia yanayojiri ndani ya uwanja wa ccm
kirumba,ambapo tamasha la serengeti fiesta likirindima

Msanii wabongofleva akicheza na shabiki wake jukwaani

Mashabiki wakishangweka kwa raha zao huku jukwaala fiesta likiwaka moto

Kundi
la Wasanii mahiri wa kuimba na kucheza kutoka THT,wajiitao Makomanda
wakitumbuiza ndani ya uwanja wa CCM Kirumba,ambapo tamasha la
Serengeti fiesta 2013 likiendelea.

Kama humjui jina lake anaitwa Zuwena Mohammed maarufu Shilole akiimba mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la
Mwanza na vitongoji vyake ndani ya tamasha la Serengeti fiesta
2013,ndani ya uwanja wa ccm kirumba usiku wa kuamkia leo

Anaitwa
Christian Bella ambaye alikuwa akifanya vyema sana kwenye bendi ya
muziki wa dansi ya Acudo,akiwaimbisha mashabiki wake usiku wa kuamkia le ndani ya
tamasha la serengeti fiesta 2013.
Mkali wa hip hop,ambaye amekuwa akifanya vyema sana kwenye anga
hizo,Kalla Jeramiah akishusha mistari mikavu mbele ya mashabiki wake


Mwanza Mwanza Wako live kinoma ,huku mayowe na miluzi ikiwa imetawala kila kona ya uwanja. Nowma sana
ji la Mwanza
wamejitokeza kwa wingi.



Mashabiki wa fiesta kibao usiku huu ndani ya ccm kirumba.
Vuta rahaa hakuna maneeeee.....manenooooo

Mtangazaji
wa Clouds Paul James na wadau wake wakifuatilia yanayojiri ndani ya
tamasha la serengeti fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya ccm kirumba.
kwa Hisani ya Ahmadi Michuzi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment