October 13, 2013

Kuna watu sijui wanalengo gani kwangu, wamefungua akaunt instagram kwa jina langu, kwenye mitandao ya kijamii nina akaunti 3 tu nazo ni
twitter @afandesele_king or Selemani Msindi
facebook personal Afande Sele The'King
FansPage facebook Afande Sele "The King"
na whatsaap chat for fans +255784228222
& Private +25571320....12
poleni kwa usumbufu mnaoupata toka kwa watesi wetu hao.
Waweza kushare taarifa hii,

  Mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele, amelalalmika na watu wanaotengeneza akaunti bandia za mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake.
   Afande Sele baba Tunda , ametoa malalamiko hayo leo kupitia Page yake katika mtandao wa Facebook
Kuna watu sijui wanalengo gani kwangu, wamefungua akaunt instagram kwa jina langu, kwenye mitandao ya kijamii nina akaunti 3 tu nazo ni
twitter @afandesele_king or Selemani Msindi
facebook personal Afande Sele The'King
FansPage facebook Afande Sele "The King"
na whatsaap chat for fans +255784228222
& Private +25571320....12
poleni kwa usumbufu mnaoupata toka kwa watesi wetu hao.
Waweza kushare taarifa hii,

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE