Jamaa anae fahamika kwa jina la
Masaka limbu mkazi wa Dar amempiga mtoto wake wa kambo mpaka kupoteza
maisha, tukio hilo lilitokea jmamosi mida ya saa mbili , Baba huyo
alikuwa akikagua madaftari ya shule ya mtoto huyo na kukuta
hayajasahihishwa na mwalimu na kuamua kujichukulia hatua na kuanza
kumpiga mpaka kifo chake kilivofika....mtoto huyo alikuwa na umri wa
miaka tisa..Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi
TAWA YAKABIDHI BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA, RUFIJI
-
Na Beatus Maganja, Rufiji, Pwani.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi rasmi bweni
jipya la wasichana katika Shule ya Sekondari...
3 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment