Rita Paulsen aka Madam Rita wa Bongo
Star Search na Walter Chilambo tayari wameshazijibu Salamu za Nay wa
Mitego na jana ilikuwa zamu ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto KabweKwake mbunge huyo, Nay ni msanii wa pili
wa Hip Hop anayemkubali zaidi Tanzania baada ya Roma na kwamba
anakiheshimu kile alichokisema kwenye wimbo huo kwakuwa ni kazi ya
sanaa.Tazama tweets hizi. CarolNdosi @CarolNdosi I wonder if @zittokabwe ever listens to hip hop..local or international..
Bad News: Akutwa kakatwa Miguu na kutelekezwa porini
Mtu mmoja ambaye hatukuweza kulipata jina lake mkazi wa Mkamba Kilombero, amekutwa polini akiwa amekatwa miguu yake yote miwili na kutelekezwa polini. Tukio hilo limetokea siku ya juzi katika kata ya Rua…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment