
Enyi
Watanzania, wabunge wenu wanataka posho ziongezwe na mishahara. Mbunge
mmoja wa upinzani kanisemea mbovu huko Dodoma kwenye kikao cha wabunge
eti mimi ni kikwazo kwa wao kuongezewa posho. Kasema nikiwa Arusha nakaa
chumba cha dola 600 kwa siku. Hivi Hoteli gani Arusha ina chumba dola
600 kwa siku? Albert Msando naomba msaada nikija Arusha unionyeshe hiyo
hotel japo nione chumba cha dola 600 kinafafanaje....
0 MAONI YAKO:
Post a Comment