November 08, 2013

 

   Mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele simba mzee, amesema watanzania wakae tayari kwa video ya wibo wake unaotamba kwa sasa wa dini Tumeletewa.Akizungumza na ubalozini.blogspot.com nyumbani kwake , afande amesema, anajua watanzania wana hamu sana ya kuona video ya wimbo huwo na ndiyo maana wamekuwa kihoji mara kwa mara hasa ukihusisha na taarifa za Zitto kabwe kumpa mkwanja.
  "Najua ndugu zangu wana hamu ya kuiona nini mfalme kafanya katika vuideo hii, lakini ni waaidi kwamba video itakuja hivi karibuni, kuanzia wiki ijayo tunaanza kushoot na kampuni ya Papazii ya jijini. Unajua vide ya nyimbo zangu ni tofauti kabisa na nyimbo za mapenzi au starehe, nyimbo zangu zina ujumbe mzito kwa jammii na ndiyo maana nahitaji kuona jamii nini inapata kutokana na ujumbe wa nyimbo zangu, tofauti na nyimbo za mapenzi, wimbo unaandikwa siku moja, unarekodiwa siku tatu video imetoka, mimi naandika karibu mwaka mzima na ndiyo maana naumiza kichwa. Dini tumeletewa inahitaji vitu vingi sana vya kihistrori hasa kutokana na wimbo wenyewe." amesema Aande Sele.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE