November 29, 2013

Ukifika Morogoro huu mnara wa mashujaa upo maeneo ya Posta ya Mkoa, karibuni sana mjionee

1 comment:

  1. Ni kweli,lakini waliotengeneza hivyo vitu wamesahaulika,na mmoja ni MZEE wangu MZEE MNIGA ndiye aliyetengeneza huo mwenge na akaufitisha mwenyewe hapo juu,wakati huo alikuwa anafanyakazi heavyplant morogoro

    ReplyDelete

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE