November 16, 2013

   Akielekea kutimiza miaka kumi tangu anyakue taji la Mfalme wa Rhymes Tanzania, mwanamuziki Afande  Sele amewakumbuka wasanii wenzake wanaosota gelezani Nguza Viking (babu seya ) na mwanae papii kocha mtoto wa Mfalme wanaokabiliwa na kesi ya kulawiti.

 Huwa nawakumbuka naamini kabisa kitambo si
kirefu watakua huru.. wakati nafanya album yangu
ya kwanza (mkuki moyoni) zaidi ya miaka kumi
iliyopita kuna ile track MAYOWE REMIX imepigwa
live band ingawa MAJANI alipiga kick, lakini BASE
& SOLO GUITAR alicharaza MZEE NGUZA (babu
seya) mwenyewe, ukisikiliza vyema ile kazi utasikia
kila chombo kwa wakati wake hiyo imechangiwa na
ustadi wa Mzee Nguza zaidi, mtoto wake ambae ni
PAPII KOCHA alifanya chorus ilikua vibe sana
nakumbuka siku ile pale BONGO RECORDS. wakati
huu ambao nakaribia kutimiza miako kumi ya KING
OF RHYMES i wish mungekuepo tufanye kitu,
MFUNGWA, MFUNGWA NI NANI? IMAM, RAISI.
ASKOFU, MWALIMU, HAKIMU, JAJI, MASIKIN, TAJIRI,
MCHUNGAJI anaweza kuwa mfungwa... .. MUNGU
ni muweza wa yote na hashindwi na chochote
naamini kabisa tutakua pamoja uraiani ..
nawapenda, nawaombea na maelfu ya Watanzania
wako pamoja nanyi.
Photo: Huwa nawakumbuka naamini kabisa kitambo si

Ameandika afande katika Ukurasa wa facebook akiweka na picha zao

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE