November 16, 2013



Ni raha kama mwaka huu pia tukipata tuzo nyingine ya Channel O, CHOAMVA. Wafahamu kuwa AY ametajwa kuwania vipengele viwili, Most Gifted Male Video, na Most Gifted African East Video, na hawezi kushinda bila wewe kumpigia kura.
Unaweza kumfanya awe mshindi wa kumpigia kura kama ifuatavyo:
Kumpigia kura kwa Most Gifted Male Video sms 1D kwenda +2783142100415 na Most Gifted African East Video sms 12D kwenda +2783142100415 au piga kura online ingia http://channelo-awards.dstv.com/

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE