November 08, 2013


MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA 
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI. 
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA.
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA.
SHUGHULI YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA.

Picha na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE