November 27, 2013


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete  Novemba 26 alikuwa ni mgeni rasmi kwenye semina ya kamata fursa twenzetu iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mh.Rais ameupongeza uongozi wa kampuni ya Clouds Media Group kwa ubunifu wao wa kampeni hii ya fursa inayowakutanisha na kuwamasisha vijana mbalimbali nchini kujituma na kufanya kazi ili kutokomeza suala zima la ukosefu wa ajira.

Semina hiyo ilihudhuriwa pia na wasanii mbalimbali angalia picha hapa.










0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE