December 27, 2013


 Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani    Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njema nusu uchi.  Dayna kupitia page yake ya facebook, ameweka wazi kwamba sivyo kama ilivyoandikwa na baadhi ya mitandao kwamba alfumwa badala yake ilikuwa ni sehemu ya location ya video yake ya wimbo mpya wa mimi na wewe
 Moja ya picha hizo
"Jamani izi ni moja ya Picha.... Tulipokuwa location tuna shoot wimbo wangu wa "Mimi Na wewe" Na sivyo kama ilivyo semekana. Na baadhi ya blogs kwamba nimefumwa beach nikijiachia sijui nini Na nani kha!

Link iyooo majibu yote yako umo maana nimekuwa nikipata maswali mno

Watch "Dayna Nyange_Mimi na wewe" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=N9oDMxF_iw8&feature=youtube_gdata_player
(4 photos)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE