Msni na makali wa mziki wa Raga nchini Hard Mad, ameamua kuja na Tshrt zenye logo ya suira yake na maneno ya mkali ninayemfahamu. Akitia stori na ubalozini Hard mad amesema lengo ni kuwafanya wadau na mashabiki wake kupata vitu tofauti toka kwake na siyo mziki tu. Tshirt izo zinatarajiwa kutoka wiki ijayo na kwa anayehitaji awasiliane na AHmadi Machaku kwa lengo la kumpatia. Namba ni. 0717 51 96 52
0 MAONI YAKO:
Post a Comment