Muda huwa ni kitu cha muhimu sana, kiasi cha muda unaotumia kuwa na mpenzi wako karibu huchangia sana maisha na urefu wa penzi lenu. Unapotumia muda wa kutosha kuwasiliana au kuwa karibu na mpenzi wako mara nyingi huepusha mengi, huepusha vishawishi hata pia kumjua vizuri mwenza wako. Ukaribu wa wapenzi wawili ni kipimo tosha cha ni jinsi gani mnakubaliana au mnapata wengine huepuka kuwa karibu na
wepenzi wao pengine labda ana hisi hawaendani au labda huwa hayuko huru akiwa nae au labda watu wakimuona nae watasemaje, kama kweli una mpenda mtu hutaona hayo. Ukijisikia kuwa hupendi kuwa karibu na mwenza wako ujue huyo humpendi na uko nae kwasababu tu Fulani.
Credit: The Clicktz
0 MAONI YAKO:
Post a Comment