December 09, 2013


Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying AliveFoundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake. Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska wa kupindukia na rate kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa wasichana wadogo, Kelly alitembelea NGO ya EYG (Elizabeth Youth Group) inayojishughulisha na kutoa misaada ya elimu ya HIV/AIDS, uchangudoa, ulevi pamoja na uvutaji bangi kwa vijana nchini

Related Posts:

  • Messi aibeba Barcelona Mshambuliaji w aklabu ya Barcelona Lionel Messi amekuwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa d… Read More
  • Tumekuwekea hapa baadhi ya Magazeti ya leo january 7 2016 Karibu mpenzi na mdau wa blog hii uweze kupitia japo kwa  vichwa vya habari vilivyoandikwa katika baadhi ya magazeti yetu leo hii january 06, 2016 '  … Read More
  • Zidane ahimiza bidii Real Madrid Kocha mkuu wa mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane, amewataka Wachezaji wake kuwa na nia moja kwa kila mchezaji kufanya kazi kwa bidii. Wachezaji wengi wa timu hiyo wameshukuru kuondolewa kwa Rafa Benitez ambapo wamepata mora… Read More
  • Habari za magazetini leo hii January 8 2016Leo Ijumaa January 8, 2016 ni siku ya kihistoria kwa Tanzania kufuatia mshambuliaji wa timu ya Taifa Mbwana Ally Samatta kutw taji la mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza katika vilabu vya ndani ya Bara la Afrika.… Read More
  • Samatta, Aubameyang majogoo wa Afrika Pierre Emerick Aubameyang Mwanasoka raia wa Tanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mmbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea ndani ya bara la Afrika.Huku tuzo ya m… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE