December 24, 2013

Msanii wa Burundi Kidum, anahitaji kufanyiwa upasuaji

Mwanamuziki aliyeiteka Afrika Mashariki na ngoma kama ‘Nitafanya , Kidum toka Burundi anaumwa na anahitaji kufanyiwa opasuaji.

Kwa mujibu wa Standard Digital, Kidum ameeleza hayo katika mahojiano aliyofanya Sofia Wanuna wa KTN, lakini hakutaja kinachomsumbua na kumfanya ahitaji kufanyiwa upasuaji.
“Sitaki kuwapa mapararazzi maelezo kama hivi waandike gossip kuhusu hili. Lakini ninahitaji kufanyiwa upasuaji.” Amesema Kidum.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE