Izi ni baadhi ya picha zinazohusiana na harakati za Uhuru wa Afrika kuzini. Maeneo nhayo yalikuwa makazi ya Ndugu zetu wa Afrika kusini kabla ya Uhuru wao Mazimbui mkoani Morogoro ambapo wakimbizi toka Afrika kusini ilikuwa ndiyo maskani yao kubwa kwa Tanzania.
SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA EU
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu,
amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa
Umo...
25 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment