Rais wa Zanzibar Dr. Ally Mohammed Shein, ametangaza kuwa kesho itakuwa siku ya mapumziko kufidia sherehe za kumbukumbu ya siku ya mapinduzi ya Zanzibar. Dr. Shein amesema ameongea na rais Kikwete na kuafikiana kwamba kesho itakuwa siku ya mapumziko kwa Tanzania mzima yaani Bara yna Zanzibar.
MRAJIS AVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUTAFUTA WATEJA NDANI NA NJE YA NCHI
-
MRAJIS na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC),
Dkt Benson Ndiege ametoa rai kwa Vyama vya Ushirika nchini kutafuta wateja
wakub...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment