“Nakula #ujana #video inataka kuharibu kwa bby... #966 ckiliza mrs nay hii ni video 2 hakuna kingine kilichoendelea baada ya apo,,, ni kweli we ndo unastahili kushika icho kifua bt ni kazi 2 na nikatika kufanya ki2 kizuri.. plzz tusigombane bcoz of zat zic video,, sawa angeweza act m2 mwingine bt ckuona haja yakumuweka m2 nilitakiwa kuonyesha uhalisia kidogo...@wemalious mi penda wewe sana kila m2 anajua,, wale mabinti wa kikenya wackupe pressure,” ameandika kwenye Instagram rapper huyo
Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi
-
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu
inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment