February 22, 2014

Ayodeji Ibrahim Balogun aka Wizkid, amekuwa msanii wa kwanza wa Naija kufikisha wafuasi millioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 23, amefikisha idadi hiyo Februry 19, 2014 huku akiwaacha wasanii wenye majina makubwa na waliotangulia kufahamika kwenye game duniani kabla yake.

D’Banj anafuatia akiwa na wafuafi zaidi ya 816,000, Don Jazzy 719,000, 2face Idibia 686,000 na muigizaji wa kike Genevieve Nnaji 542,000.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE