Staa
nguli wa muziki wa Kibongo,Rehema Chalamila,Ray C amefunguka kupitia
mtandao wa instragram kuwa anatarajia kuonekana tena jukwaani hivi
karibuni baada ya kuwa likizo kwa nuda wa mwaka mzima.
Ray C aliandika hivi Naimiss steji vibaya mno,likizo ya mwaka mzima
alhamdullilah,Mungu ni mwema sana,asante kwa afya baba yangu muda si
mrefu ntarudi Kazini na uhakika mashabiki wangu wapenzi mmenimiss
sana,’alisema Ray C.
Ray C aliongeza kila kitu tayari kimeshapikwa bado tu kuwaambia lini
tu but niombeeni heri wapenzi wangu najua sana mmeimiss sauti ya Ray C
All over the world jinsi ninavyowapenda na jinsi mlivyoniombea zawadi
Kama kumi hivi nimewaandalia mtashauaje sasa kama nawaona vile Bila nyie
hakuna Ray C Thank you so very much guys My fans!My everything
Nawapenda mno,’aliongeza Ray C.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment