Madee leo kupitia Account yake ya Instagram amehoji kuhisiana na wasanii
wanaoomba wananchi wawapendekeze ili washiriki kwenye Tuzo za KTMA
2013/14. Hivi karibuni wasanii wameonekana wakiwa busy sana kuomba
wananchi waweze kuwapendekeza kwenye Tuzo hizo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment