February 26, 2014

   Week hii Mitandaoni zimetawala picha za Agness Masogange Mitandaoni Akicheza jukwaani huku akionehsa kiuno chake kwa chati kwenye ufunguzi wa Pub Moja huko Dodoma Its Obvious Alilipwa kwa kufanya hivyo tena si hela ndogo ...Mimi ki  ukweli kanifurahisha ni bora atumie kipaji chake na umbo lake kujipatia hela kwenye matamasha ama video mbali mbali kuliko ile ya kuuza Sembe aka Ungaz....Hongera

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE