Dayna akiimba kwa Hisia
Valentine Daya kumbi nyingi kili nuka mbaya, huko jijini Mwanza kulikuwa na bonge ya show iliyowakutanisha wakali wa Stage toka Tanzania Dayna Nyange na kutoka Uganda mwana dada wa blue 3 Cindy Sanyu, ni katika show ya Special valentines night ndani ya JB BELMOTEL
Akicheza na mmoja wa mashabiki wake
Hapa akiimba nivute kwako
Hapa akiagana na mwanamuziki toka Uganda Cindy Sanyu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment