February 26, 2014


Kufuatia Rais wa Uganda kusaini sheria mpya ya kupinga Ushoga na aina zote za namna hiyo, wamiliki wa Facebook, Instagram, na Twitter wamefunga huduma zote katika nchi ya Uganda ikiwa ni ishara ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na hatua ya Museven kusaini sheria hiyo. Kwa sasa wananchi wa Uganda hawatapata huduma hizi labda Rais wao aamue vinginevyo katika sheria hiyo.

Related Posts:

  • Bandari, CRDB kukaguliwa mapato yao   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali aende Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ili akague taarifa za mapato ambazo zilikuwa zikilipwa na mawakala wa forodha na bandari kupit… Read More
  • Jean-Pierre Bemba apatikana na hatia ICC Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai -ICC yenye makao yake makuu huko Hague nchini Uholanzi, imempata na hatia ya makosa ya uhalifu wa kivita aliyekuwa makamu wa rais wa Congo Jean-Pierre Bemba. Bwana Bemba alishi… Read More
  • Rais John Magufuli awa wa kwanza kuhakiki silaha yake Uhakiki huo umefanywa na maafisa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro. Akizungumza baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, Rais Magufuli amemp… Read More
  • Picha za Obama katika ziala yake nchini Cuba      Rais wa Marekani Barack Obama ameanza ziara ya kihistoria nchini Cuba, akiwa ndiye rais wa kwanza wa Marekani kuzuru taifa hilo katika kipindi cha miaka 88.  Hapa tumekuwekea pic… Read More
  • Hukumu ya Bemba kutolewa leoMajaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC hii leo wanatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya makamu wa zamani wa Rais wa Congo Jean- Pierre Bemba anaetuhumiwa kwa ubakaji na mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wake katika nchi j… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE