Mama
wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa
onesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau
tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau
waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red
nchini Tanzania.
Kwa habari zaidi na picha ingia globalpublishers.info
0 MAONI YAKO:
Post a Comment