February 19, 2014

 
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, amewaonya wanaotaka kukwamisha mchakato wa kupata

 katiba mpya., kupitia ukurasa wake wa facebook  Zitto ameandika
 Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi nyeti kama ya kuandika katiba ya nchi iwe marufuku. Kuna kundi lina lengo la kuzuia katiba Mpya kupatikana. Kwa vyovyote vile lazima tuwashinde wapinga mabadiliko hawa kwa kuunganisha nguvu za wananchi. Tusirudi nyuma

"Forward ever, Backward never" - Nkrumah
   Amwmaliza Zitto Kabwe

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE