
Daudi wa kota akiwa na Sebastian Maganga
Mdau wa media Tanzania, team Clouds Media Daudi wa kota ni miungoni mwa wadau wataoudhulia show kubwa Afrika Mashariki ya Tubonge Concert nchini Uganda. Show hiyo itakayomuhusisha Mwanamuziki DR.Josee Chamilion inataraji kufanyika ijumaa hii huku ikihudhuliwa na wadau wakubwa Afrika Mashariki

Hii ni Tiketi ya Daudi wa kota
0 MAONI YAKO:
Post a Comment