Familia ya Elias Oganda huko Seme jimbo la Kisumu nchini kenya inasema huenda kitendo hiki kimetokana na mzozo wa shamba japo hawafahamu aliye katika ugomvi huo.
Elias anataka aliye na tatizo naye kujitokeza kusuluhisha ili kuachana na hii ya huyo asiyejulikana kuleta jeneza lenye miili ya paka mlangoni mwake kila wakati.
Unaambiwa jeneza hili lenye mwili wa paka aliekufa limekuwa likiwekwa nje ya mlango wa Julius hii ikiwa ni mara ya nne sasa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment